Kilimo mtandaoni

IDARA ZA MBEGU

Wizara ya Kilimo
S.L.P 2182 40487 Dodoma
ps@kilimo.go.tz
Kiini cha kutoa mwongozo wa sera na huduma kwa mifumo ya kisasa, ya kibiashara, shindani na yenye ufanisi ya kilimo na ushirika ifikapo 2025.
The United Republic of Tanzania Ministry of Agriculture
Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine
S.L.P 3000, Chuo Kikuu, Morogoro -Tanzania
sua@sua.ac.tz
SUA ni taasisi nyingine mbali na DRD inayojihusisha kikamilifu katika ukuzaji na uzalishaji wa mbegu.
Sokoine University of Agriculture
Taasisi Rasmi ya Kudhibitisha Mbegu Tanzania (TOSC)
info@tosci.go.tz
TOSCI ndiyo mamlaka pekee ya uthibitishaji wa mbegu nchini Tanzania yenye jukumu la kuthibitisha na kukuza mbegu bora za kilimo zinazozalishwa au kuingizwa nchini kwa ajili ya kuuzwa. Pia imepewa dhamana ya kulinda jamii ya wakulima dhidi ya kupata mbegu duni au ghushi kutoka kwa wauzaji wa pembejeo za kilimo.
Tanzania Offcial Seed Certifcation Institute (TOSC)
Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki (TPRI)
S.L.P 3024 Arusha Nairobi road, Ngaramtoni Area Tanzania.
dg@tpri.go.tz
TPRI ni taasisi ya udhibiti yenye mamlaka ya kutoa huduma za upimaji na karantini kwa mbegu na vifaa vya Kilimo vinavyotoka nje ya nchi.
Tropical Pesticide Research Institute (TPRI)
MWALIMU JULIUS K. NYERERE UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY (MJNUAT)
P. O. Box 976, Musoma (HQ-Butiama), Mara-Tanzania,
255282985750
info@mjnuat.ac.tz
MWALIMU JULIUS K. NYERERE UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY (MJNUAT)
KAOLE WAZAZI COLLEGE OF AGRICULTURE
P.O.BOX 99 BAGAMOYO
support@kaolecollge.ac.tz
o provide profession training on crop and livestock farming leading to the award of technician certificate and diplomas, and modular or tailor-made demand driven short courses for diversity of clients in the agricultural industry.
COLLEGE OF AGRICULTURE & NATURAL RESOURCES
Box 6876, Dar es Salaam
info@canre.ac.tz
The College is to provide professional training to students, providing appropriate knowledge and skills relevant to the needs of government, private sector and farming community.
COLLEGE OF AGRICULTURE & NATURAL RESOURCES