Survery on Wakala Digital
Jina Kamili
Jinsia
Mme
Mke
Unatumia simu ya aina gani
Simu ndogo
Simu janja
aina gani ya simu janja
Android
iOS
Tupe namba yako ya simu
Mkoa uliopo
Dar es Salaam
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Morogoro
Pwani
Iringa
Tabora
Singida
Simiyu
Kigoma
Geita
Kagera
Songwe
Ruvuma
Rukwa
Mwanza
Kilimanjaro
Zanzibar
Mtwara
Lindi
Mara
Manyara
Katavi
Wilaya uliyopo
Kata uliopo
Kijiji ulichopo
Unafanya kilimo kwa Muda gani?
Unapataje taarifa za kilimo
Simu
Redio
Magazeti
Kompyuta
marafiki na ndugu
Maafisa Kilimo
Unataarifa kuhusu wapi ununue bidhaa za kilimo? (mbolea, mbegu bora)
Ndiyo
Hapana
Tuelezeee
Ni mazao gani huwa unalima?
Mahindi
mpunga
mtama
ngano
alizeti
maharage
ufuta
uwele
miwa
mihogo
mbogamboga
kahawa
chai
ndizi
viazi
mengine
Zao gani lingine
zao gani ni zao la biashara
zao gani ni zao la chakula?
Mbegu za kilimo huwa unanunualia wapi?
maduka ya pembejeo
unatuma za mwaka uliopita
kwa mkulima mwinzio
kutoka sokoni
Unatumiaga mbolea?
Ndiyo
Hapana
Changamoto gani unazipata katika kilimo
Unamiliki acre ngapi?
Unalima acre ngapi kati ya hizo
Unapata wastani wa gunia ngapi ndani ya msimu mmoja?
Unatumia kilimo cha aina gani
Umwagiliaji
kawaida
Unapata changamoto zozote katika shughuli zako za kilimo? unashauri nini kifanyike?
Kuna umbali gani kati ya shamba lako hadi sokoni
Barabara ikoje?
Inakuchua muda gani hadi kuanza kuuza mazao yako baada ya kuyavuna?
siku kadhaa
wiki
mwezi
miezi
mwaka
Unauza kwa ujazo gani?
kgs
debe
gunia (50kgs)
gunia (100kgs)
sina kipimo maalum
Umeshawahi kuuza mazao kwa mojawapo ya hawa?
AMCOS
Vyama vya wakulima
Wenye maghala
Madalali
Taasisi(hopitali/shule)
Sijawahi
Tupe uzoefu wako
Unajuaje bei ya kuuzia?
kwa kujadiliana na wakulima wenzio
kutoka vyama vya wakulima
sokoni
Wachakataji wa mazao
kwa wanunuzi
kutoka serikali ya mitaa
Ishawahi kutokea mzigo wa mwaka jana ukabaki mpaka ukakutia wa mwaka mwingine?
Ndiyo
Hapana
Unawasiliana vipi na wanunuzi wako?
kwa simu
kukutana uso kwa uso
barua pepe
kutomia madalali
Wewe ni mwanachama wa AMCOS au chama cha wakulima?
Ndio
Hapana
tupe jina la AMCOS au Chama
Namba ya simu ya Mwenyekiti/kiongozi
Umeshawahi kulima kilimo cha mkataba?
Ndio
Hapana
Zao gani ulilima?
Ulipata msaada gani kwenye huo mkataba?
Usafirishaji
Mkopo
kupata pembejeo
huduma za ziada
ghala za kutunzia mazao
mtaji
kupata soko
Unatunza kumbukumbu za biashara yako ya kilimo?
Ndio
Hapana
Ushawahi kutembelewa na afisa kilimo au VBA
Ndio
Hapana
Unadhani ukiwepo mfumo wa tehama unaweza kukurahisishia kazi zako za kilimo?
Maelezo ya ziada
Send
Thank you for your Feedback